Newtonfox

HII NI TAMU SANA

Kuna wakati ULIKUWA KWENYE KIFUNGO CHA DHAMBI, Ukiwa kwenye MINYORORO YA UTUMWA WA SHETANI Kwa sababu ya ASILI NA MWILI WA DHAMBI…

KWA WAAJIRIWA TU

"Ukitumika Kwa Uaminifu Kwenye Ndoto ya Mwenzako, Mungu Atakuinua Na Kukupa Neema Uwe Mtu Mkuu" Yusufu ALITAFSIRI NDOTO YA FARAO Lakini pia Aliwekwa KUTUMIKIA NDOTO YA FARAO Kwa MIAKA 14 Lakini ALIPOMALIZA KUTUMIKIA MIAKA 14 YA NDOTO YA MTU MWINGINE KWA UAMINIFU, MUNGU ALIMHESHIMISHA NA KUMFANYA MKUU HADI WAKATI ANAINGIA KABURINI.

The Powerless Gospel

YESU KRISTO Asiyeweza Kutoka Kwenye KURASA ZA BIBLIA Na Kuthibitisha Kwamba “NI YEYE YULE LEO KAMA ZAMA ZA MATHAYO, MARKO, LUKA, YOHANA NA MATENDO YA MITUME” Ni Yesu Wa Dini Au Wa Dhehebu Na Si YESU KRISTO MWANA WA MUNGU Aliye HAI Katikati Yetu Kupitia ROHO MTAKATIFU.
Yesu Anayeishia Kwenye ANDIKO Na Asiyeweza Kuyapa MAANDIKO PUMZI YA UHAI Huyo Si KRISTO.
THE POWERLESS GOSPEL IS DEVILISH GOSPEL.
S…

View On WordPress

Kristo asiye na Nguvu

Kristo asiye na Nguvu

Kristo Asiye na Nguvu Wala Majibu Ya Wanaomwabudu, Huyu Si KRISTO YESU WA BIBLIA Aliye Yeye Yule Jana, Leo Na Hata Milele.
“Maana Watatokea Makristo Wengi Wa Uongo… Wenye Mfano Wa Utauwa Lakini Wakizikana NGUVU ZAKE”
GOSPEL WITHOUT POWER IS THE FAKE GOSPEL.
Salamu toka Tabora,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

View On WordPress

Kipimo Cha Uwepo Wa Roho Mtakatifu Ndani Ya MWAMINI Si KUNENA KWA LUGHA Bali Ni TUNDA LA ROHO. Aina…

Kipimo Cha Uwepo Wa Roho Mtakatifu Ndani Ya MWAMINI Si KUNENA KWA LUGHA Bali Ni TUNDA LA ROHO.

Kutomtii Mungu

Shetani Ana NGUVU Ile tu Ambayo WEWE UMEMPA Kwa KUTOMTII MUNGU NA KUTOMPINGA SHETANI. “Mtiini Mungu. Mpingeni Shetani Naye Atawakimbia” …

Kuabudu kwa Roho

Muda Wa Kuabudu Kwa Hisia Badala Ya Roho Zetu Umeisha. Muda Wa Kufundishwa Na Kuelekezwa Na Watu Wanaosema, “MSINIANGALIE MIMI BALI TENDENI NINAYOWAFUNDISHA” Umeisha.

INJILI YA MANENO MATUPU BILA ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE IFE:

Mahali Kokote Wanakoongea Sana Kuhusu Ufalme Wa Mungu Lakini Hakuna NGUVU YA MUNGU Wala Hakuna UTUKUFU WA MUNGU Mahali Hapo Wanahubiri INJILI NGENI…

Ukiwa Na Maono [Vision]

Lazima Utakuwa Selective … Si Kila Mtu Au Kila Kitu Utakikubali Na Kukipokea, Si Kila Jambo Utafanya…